Skip to main content

 

Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Moshi Institute of Technology  (MIT) kilianzishwa mwaka 2005 Mjini Moshi. Kimesajiliwa na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA). Lengo la shule ni kuandaa kizazi cha vijana wa Kitanzania, bila kujali jinsia wala dini, kupata elimu zaidi, elimu ya kiufundi kwa kiwango cha kitaifa na ajira endelevu. Ndiyo maana, tunafundisha pia ujuzi wa maisha na ujasiriamali katika kozi zetu zote. Chuo kina uwezo wa wanafunzi 450, kwa sasa wanafunzi 400 wamesajiliwa (2020).

 

Comments